Service Charter

Service Charter

S/NCUSTOMER SUPPORT SERVICESCUSTOMER REQUIREMENT(S)COST OF SERVICETIMELINE
1Response to phone calls (Landline or any other official line)Phone callFree15 seconds
2Response to enquiry by walk-in clientWalk in and make the inquiryFree1 minute
3Response to correspondenceWritten correspondenceFree5 working days
E-mail and social media (Twitter, Facebook, Youtube)Free1 working day
4.Response to public complaints and grievancesMake a complaintFree1 working day
5.Registration of suppliersi. Duly filled application form
ii. Company profile
iii. Certificate of Incorporation/Registration
iv. PIN Certificate
v. Valid Tax Compliance Certificate/Exemption
vi. Original Bank Statement
vii. Copy of Certificate of Registration with relevant Regulatory Bodies
viii. Non-refundable fee payment receipt
ix. Copies of Annual Return forms filled by Company Registry
x. National ID/Passport
Free14 working days
Processing of tendersSubmit bids for goods and servicesFree90 working days
8.Notification of successful and unsuccessful biddersAccess e-procurement portal for notificationFree1 working day
Payment of goods and services receivedi. LPO/Invoice
ii. Certificate of completion/ Goods/Services received
Free60 days from the date of receipt of the invoice
Disposal of obsolete storesSubmission of bidsFree60 days from the date of advertisement
Public participation in policy-making processFamiliarization with issue and active participationFree1 day
Recruitment of staffMake formal application based on the advertFree90 days
Processing of request for informationMake a request for informationFree21 days
Processing of application for admissionMake application with KCSE certificate or equivalent relevant certificateKES 5005 working days
Delivery of syllabus contentRegistration as a traineePrescribed tuition feesPrescribed content hours
Feedback on internal examinationSit for all assessmentsChargeable fees28 days
Provision of appropriate and relevant training and learning facilitiesAttend all classes and learning activities pertaining to your courseChargeable statutory and tuition feesTerm/Semester/ Academic year
Dissemination and implementation of policy guidelinesIdentified policy, your inquiry, requests and concerns through relevant officesFree1 minute

S/NHuduma ya kumsaidia mtejaMahitaji ya mtejaGharama ya hudumaMuda
1Kuitikia / kujibu simu za mezani na zingine za kirasmi.Kupiga simuBuresekunde 15
2Kujibu / kuitikia maulizo ya mteja wa kutembeleaKutembelea chuo na kufanya maulizoBureDakika 1
3Kujibu mawasilianoMawasiliano ya kimaandishiBureSiku 5 za kazi
Barua pepe, Waraka wa elekroniki na mawasiliano ya kijamii (twita, uso kitabu, yutyubu)BureSiku 1 ya kazi
4Kujibu malalamiko na madai ya umma / wananchiKuweka lalamikoBureSiku 1 ya kazi
5Jibu kwa malalamikoKuweka lalamiko la kimaongezi au kimaandikoBureSiku 14 za kazi
6Kusajili watoaji / wagawajii. Kujaza fomu ya maombi
ii. Maelezo ya kampuni
iii. Hati ya usajili
iv. Namba ya kibinfsi ya hati Sajili.
v. Hati kamilifu ya ulipaji ushuru
vi. Maelezo asili ya bengi, hati Sajili ya usajili na mashirika shirikishi.
vii. Risiti ya malipo yasiyorejeshwa
viii. Hati za mwaka za msajili wa kampuni
ix. Kitambulisho cha kitaifa / pasipoti.
BureSiku 14 za kazi
7Mfanyiko wa utoaji zabuniKuwasilisha nyaraka za utoaji zabuniBureSiku 90 za kazi
8Kuwajulisha walioshinda na walioshindwa utoaji zabuni (Kuwajulisha wazabuni)Kufikia wakala wa kidijitali kwa kupata maelezoBureSiku 1 ya kazi
9Malipo kwa vifaa na huduma vilivyopolekai. Ankara / bili
ii. Hati ya ukamilisho wa vifaa na huduma
BureSiku 60 baada ya kupokea Ankara / bili
10Utupaji / udhibiti wa vitu visivyotumikaUwasilishaji wa tenda / utoaji wa zabuniBureSiku 60 baada ya kupokea tangazo
11Ushiriki wa umma katika mipangilio / mifanyiko ya kuunda seraUfahamisho wa maswala na kushirikiBureSiku 1 ya kazi
12Uandishaji / uajiri wa wafanya kazi / watumishiKutuma maombi kulingana na mwito / matangazo ya kaziBureSiku 90 za kazi
13Mfanyiko wa maombi / matakwa ya HabariTuma ombi / maombi ya kutaka HabariBureSiku 21 za kazi
14Mfanyiko wa maombi ya kuingia na kusajiliwaTuma maombi kwa kujaza fomu na kutumia cheti cha KCSE au kilicholinganishwaShilingi 500Siku 5 za kazi
15Kuwasilisha yaliyomo kwenye silabasiKujisajili kama mkurufunziKaro iliyopendekezwaMasaa yaliyopendekezwa katika silabasi
16Mwitikio (majibu ya) wa mitihani ya ndaniKukalilia makadirio / mitihani yote ya ndaniKaro iliyoidhinishwaSiku 28 za kazi
17Utoaji wa vifaa vinavyostahili na vya maana katika kujifunza na kujifunziaKuhudhuria / mafunzo mihadhara na mazoezi yote katika kozi yakoKaro iliyoidhinishwa na mahitaji mengine ya akujifunzaMhula / mwaka wa kiakademia
18Kueneza na kutekeleza maelekezo ya seraUtambuzi wa sera, maulizo, maombi na shauku / tatizo kuhusu kozi yako.BureDakika 1

Online Resources

Skip to content